Finding Ubuntu (Swahili)
Dhaminia Ubuntu ni filamu inayomzungumuzia shujaa wa Kongo, Maick Mutej, ambaye anaibuka kama mtetezi wa haki za binadamu akiwasaidia maelfu ya wakimbizi katika kambi ya wakimbizi ya Dzaleka haijalishi yeye mwenyewe anashida zake binafsi.Sehemu ya mapato yote ya ukodishaji na ununuzi wa filamu yatatolewa…
- Genres:
- Documentary
- Availability:
- Afghanistan +more